Sunday 18 September 2011

Na nnajua hii itakuuma hii


ulikua huja wai kuisikia hii stori ee
basi nakupapole kishenzi
kwamaana
kwamaana


Kifupi
Hii stori inaanzia
pale city centre
jijini dar es salaam nilipo zaliwa
nilipokulia
nilipo zebenza kishenzi
yani kwamba
nilikua mi sikamatiki x2 hata ukinivutia manati hunipati
walisha nitega wakanitega lakini mitego yao nikaitegua
nikaendelea kusonga
beach boy mtu wakutambaa na hili zonga
nimetokea kwenye hi hii
hip hop
alafu badodaily  nipo kwenye mizebenzo hi hii yani ku pump pump
alafu mzee wa sh sh sh yaniii


chorus-
kwamaana
Na najua hii ita kuuma hii
ila vumilia hiyo ndoa ndio asili x2

ves 2
Kimtindo nipo fiti nipo gado
yani nipo ile masive nondo
man mtu mani alone
kifua mtu........to be continued soon





No comments:

Post a Comment