Monday 28 February 2011

JCB @ KILI AWARD


Shiiiiip Nimesikia Pa! - JCB 

 www.jcb-africanmusic.com 
www.watengwa.com
Maandiko yanasema Yusufu aliuchukua U-King wa Nchi ya Israeli kutokea jela, kwa kuitafsiri ndoto ya mfalme wa Izrael.  Hivyo hayo ni maneno na maneno ndio nguzo kuu ya Hii Real Hip-Hop kama lilivyo NENO...    aliitafsiri ndoto ya kwamba, kuna miaka 5 ya chakula na raa inakuja,     ila baada ya hapo itakuja miaka mi5 yanjaa na kuwameza ng'ombe wale watano walio nenepa.     Kwahiyo akachaguliwa kuwa kiongozi wa nchi kwa ushauri wake wa kuto ''kujisahau kwenye miaka ile ya kwanza ya raa''   bali kuwekeza ili ikifika mika ya shida wawe mwake, nakweli ikatokea. .. na hili ndio neno la leooooo- limetimia.          Miaka ya kati 90 Arusha rap ilifana sana[cave, mawingu, metopole na crystal club], lakini wanaume tuka vumilia, hatuku kurupuka kuingia kwenye midomo ya mamba [soko la wadosi]. Basi early 2000 gem likavamiwa na wabana pua kutoka kona zote za East Africa, kwa stylz za kila aina, just kummneemesha mdosi. Na hii iliendelea mpaka 2005 na bado inaendelea,.    Walipo ishiwa na sera na Njaa kuwa ingia kabla hata ya  2010 na kuendelea A-town tukaanza kutumia tulivyo vihifadhi ENZI ZILEeeeeeeee za neema mid 90's   [ nazo ni HARD CORE RAP  wakati JCB n Lord Eyez wanarepresent HU - HardiCore Unity- East Africa.    Then gesi what  Now!!!? Wale walio kua wanatukataa  A-Town sasahivi wanatukimbilia nakujipendekeza.   

Mtu wangu JCB hawezi kupagawa na Kili award,- kwa maana tusharuka mipini mingi sana ya hip-hop kutoka Amerika enzizile wakati hata hatukuwa tunajua kiingereza..  Now ni wakati wetiku warusha Tokea Arusha hata kama kiswahili kwao hakipandi - mtandao utawatafsiria.
Miaka miaka yaneema hii apa. A-Town every where ina wakawaka. Stay real. kwamaana Yusufu Ali-stay real hata nduguzake walipo tia tim Izraeli kununua nafaka aliwasugulia ingawa badae aliingia chumbani na kulia saaaaaaaaaaana. Kwa uamuzi alio ufanya.      Ushindi sio lazma, yanaweza yakaja kuwa yale yale tu ya afande sele, kumbe walisha mchagua nani kombe watampa..

Mi naitwa  KingBidaa from changanikini- dar to arusha kitopeni - ex-Xplastaz soja, But Now am with TMC Crew TheMandelazClic aka Wana wa Ukombozi wa  The Real African Hip-Hop. Nakandamizia kutokea kipande hii ya UK. Lakini targert iko pale pale alipotokea Raisi mwenye dam ya BLACK wa kwanza nchini Amerika.. Naongelea East Africa

Niite The Last Messiah!!!
 ukipenda!!

Wakimbize JCBii mtu wangu

Ukisikia Paaa! Ujue  Bado uko hai madhafaka nyanyuka alafu endelea kukimbia,  Nijifunzie shabaha kwenye rymez zako kipumbavu.
Kwa jina la TMC nawakemea wenye ma pepo ya kubana pua kwenye gem TTToooka
Mpe kura JCB
weweee txt @ http://www.kilitime.co.tz/awards/2009/nominees_2007.php and find the song called Ukiskia Paa - Jcb/FID Q/ Chidi Benz and vote for it. It can be found twice on that website.


1 comment:

  1. Amini usi amini lisemwalo lipo, hiyo haina edit wala nakshi, ni kwamba nilo yasema hapo sasa yame timia tena.

    Hakuna mdosi wala mchina, mzungu wala mwarabu, Damaresi.com ni ya mswahili na ni kampuni ya kwanza east afrika kudili na Swahili Music tuuu.

    Yani The Swahili-Only Music Platform website and Applications.

    Mataifa mengine wana apps zao, websites za na platform za lugha na makabila yao. Why not us.

    Yes we are the swahili na hatu kani asili yetu.

    wanao taka kusaidia dunia au kupanua uwigo wa make more money na kusaidia wengi zaidi. Tuna wa saluti, ila kwa kina na kwa maarifa na kwa target, naamini ukitaka kuisadia dunia, kwanza anza kusaidia kijiji.

    wanasema charity start at home.
    and we dodo start at home

    kiingereza hakikuanzia dunia nzima

    kilianzia familia za uingereza leo ni dunia nzima

    na sisi tuki pushi sio lugha, namaanisha miziki, mila tamadu na aweareness ita kuwa waswahili wata julikana, na hapo ndio products na services zita onekana.

    usipo ji thamini na kuji jali.
    no one from out side ata acha familia yake watu wake nchi yake aje kuwa pigania na kuwaeleza maendeleo yenu yata patikananje au kuyapigania mkiwa mme lala.

    ndio dalili za kuibiwa, tapeleiwa na kurubuniwa.
    #Damaresi #Swahili #SwahiliLand #Kiswahili #SwahiliMusic #TanzaniteTamtilia #Tanzanite #Tanzani #BongoFleva #HipHopIsDead #Singeli #Taarabu all ina DamaresiMusic.com and Damaresi Delivery.com The Swahili Online supermarket

    ReplyDelete