Friday 21 January 2011

King Bida Aendelea Kuu washa moto



Tokea arushe single yake ya kwanza hewani mwaka 2007, King Bida amekua ni kama chachu au kichocheo cha The Real African Hip-Hop.  Kwamaana takriban kila mwishowa mwezi bingwa huyu huwa ana epua single zilizo matata since.   akiwa na so many single  tracks on air bado anaendelea kudondosha vitu juu ya vitu.   Ansema kuwa ni hobby tu.   Na kama una penda ukifanyacho kama hobby hutojali malipo.  you just doing it...' and I am addicted to do it' ni maneno ya KINGBIDA mwenyewe

No comments:

Post a Comment