Monday 17 January 2011

KingBida - Mtoto wa Mapambano Lyrics


This is The Official Mapambano Lyrics from KingBida - By KingBida

Mtoto wa Mapambano


Intro

Aah Bwana kinbida mzee ndio umetoka
yani tarehe moja nding
na wewe ndio unaondoka
haya bwana si tuna baki huhuku ndani sijui itakuaje mwenzetu


bida bwana utukumbuke huko uendako!


msijali msijali watu wangu , hamna shida


ah king bida you are free now bwana 
but we dont want to see you in prison soon
try to be a good man
iwil be i wil be agood man dont wory


alright ngoja nizame street

Verse 1 
ah
come on

Nauanza mwaka nikiwa na deni la zaidi ya milioni 15
wakati sina hata kibarua cha kunipatia hata sh 5
hapa mfukoni sina hata sh 500
kijukuu cha mzee wa mapambano mtoto wa mzee mapambano
nilie zaliwa kwenye uwanja wa mapambano
nimekulia katika life la mapambano

day by day ni mapambano x3

hebu niambie kwenye hili life nitatoka vipi, nita lifaulu vipi, nitakabiliana nalo vipi?
mtu nilie zoea mipalangaano
every day naitafuta hela ya ngano
fegi na mademu wa kularaanao
yani mi ni kama askari wa frelimo na renamo
tumezoea maisha yetu haya haya ya kupalangana popote inapobidi
tukisha vamia chochote kinacho toka ni inshu tuu

mtoto wa mapambano
nimezaliwa kwenye hili life kwaajili ya mapambano
nimeuanza mwaka katika mazingira ya kutatanisha OoooH

CHORUS

Hapa umekutana .. Naaa!!
Kijukuuu               Chaaa!!
Namtoto               Waaaa!!

mapamba             naaa
kijukuu               chaaa ..........mapambano
namtoto              waaa............mapambano
                                              mapambano
                                              mapambano
                                               mapambao
yea
comon


yooo sikiaaa
mesej hizi nzito zinatoka kwaa  ......  kingbidaa
wanao nijua fresh watakwambia mi ndio  ....  Ring leader
A K A  ...A- Town Mafiosooo
zungusheni mduara mpokee lecture kutoka kwaa....Tour leader
nakama unataka kunyoosha mikono yako hewani usinyooshe kwa kujiiba

hii ndio dunia nadunia siniduara baba...yea
namaanisha ina mzunguko
hivyo necha ni lazma itajirudia
necha nilaaaaaazma ntajirudia

msidanganywe na sayansi wala teknolojia
hakiamungu chini ya hii anga hakuna anae weza kuistopisha necha ya jua
comon!! nyoote mnapaswa kulijua
ukipita usiku mcha ni lazma litawaka tena jua

Naalie ni push usiku
mi msaka mchana mchana kwenye mwanga wajua
na mi ndio The Sun mnae nijua

Naaribu sana mchana
alafu narekebisha usiku  linapokuchwa jua - kwenye stage
nalala na ki - bibi usiku....shiiiip
alafu mchana naosha na kaschana kwenye - window shopping...shiiip
kwenye window shopping

CHORUS

nilipo jikwaa jana usiku leo nimepajia na mapanga na masururu ,
kupachana chana chana
Nawapotezea memory kabisa
kwenye hili full boooom blast
and still KingBida siwamaindishi wamachinga wala wachina, kwazao plastic

nimezaliwa mwanza
mi ni full pamba full ngwamba full pamba pamba pamba
shingoni chuma
mkononi chuma
kiunoni nnachuma
yani mi mbona ni full chuma

niliopo bomba stik
alafu nipo bomba

na hapa umekutana na mileniam Mchonga - Weee Chunga
nakusalimia na yangu stik
nannaliongoza gem la hili Bara kwa kutumia hii hii stik

Yani hapa rymez zime stik
lyrics zimestic
melody z zinazotoka ziko bombaa stik

kama unataka biff na mjukuu wa mapambano
kwanza shika hii stik
upate vitu ambavyo vina splash na ku - sticky sticky sticky stiky stikyyy .....AaaaaaaaU

CHORUS


Outro
2011 Mother F**ker
mtoto wa mapambano
full chuma
full bombastik

Nnaichukia miplastiki mie

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<THE END>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

take a tour for more tunes at http://www.reverbnation.com/KingBida

JJS.Inc 2011©BeachBoyZ ProductionZ

No comments:

Post a Comment