Tuesday 14 September 2010

Hip-Hop got my Name on It - KingBida

Exclusive  -  New Single  Mchizi wa Kitaa





How to use this site    
Clic on the track above which you would like to listern and then scrow down to get it. sing along with me

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Official - Mchizi wa Kitaa! lyrics


Hapa tuko wapiiii?
hembu nikumbushie kwanza hapa tuko wapii, tupo wapiiii x3!!!!
kwamaana niko tungi chiichaaa
niko tungi chichaaa
this music is geting craiiiizeeeee
hapahapahapaha
hapannlipo nipo nopo nipo nipooooo
we we wee wee weee

hapa mpo na mchizi wa mtaaa
ambae amefuzu mafunzo yote kuanzia ya jando mpaka ya kuvuta nyuzi za gitaa
yani kumeki - kumeki music

yani ya kummeki mtoto anae goma kula ale,
kwa maana huwezi kuucheza mziki wangu kama unanjaaa
we
najua sina rastaaa
lakini kuwa na rasttaa sio anasaaaa
ni sunaaa
usinione tu kwasababu sina rastaaa
ufikirie kwamba eti widi kwangu mi itakua kama anasaaa
ni sunaaa
no
kwamaana hapa nilipo nipo nipo
nipo alafu nna stim za mtaa
yani  nasababisha kuanzia hiki kitaa mpaka chako kitaaa
he he hee
hunielewi?
hebu mshangaeni huyu - Daaaah
Daah

king bida in the cityyyyy
live in the cityyyy
nairobi bujumbura kigali mpaka lilongwe
year
mi natokea darrrr
nasisitiza huu mziki wangu ni waasili ya dar
he he he hee
kwamaana haopa nilipo nipo
nipo kama sipoeeee
niko kama simpoeeee
ehee
niko nama supuuu
nipo nama supu susu supuuu


kwamaana hapa nilipo niponipo nipooo


jamanieeeee
eeeeeh
mi ndio mchizi wa kitaaa
nasababisha bila hata ya gitaaaa
weweweweeee
heheeheee
kwamaana hapa nilipo nipo nipooo
popopopoooooo
mpo na mchizi wa kitaaa ambae ana sababisha bila ghata ya gitaaaa
nini gitaaa
nini gitaaa
kwamaana hapanilipo nipo nipoponipo


cheki nnavyo densiiii eheee
professinal dancer
niking bida
year

hebu cheki nnavyo dennnnnsi eheee
alafu hiii mesej ngoja kwanza niisendiiii
sijui ataipataaaa x2
baby si umeipokea sim
basi itatubidi mambo yote tuyafanye hii wiki endiiiiii
shoping shoping ahaaa
spending spending ahaaa
dina aoutiiii
ahaaa
alafu mambo mengine yote yaende ki sexy sexieee
king bida musiiik- ahaaa
nakwambia hapanillipo nipo nipo nipoo
nipo na machizi wakitaaaaa wanaosababisha bila hata ya gitaaaa
kingbida mchizi wa kitaaaaaa
haiwezekani hiiii - imposiboooooo
mchizi wakitaaaa
ah -ah
never never
haiwezekani hiiii
dangerous,,,,ofcoz
kichizi chiiiiiizi- easy
take eaaassy - easy
hip hop ina get to another leve, so just take eaaaaasy
from east africa MatherF##ka
 - kama obama
kwamaana nakwenda na miondoko ya kihadikoooooooo
kama obama
naishika hii mic navunja kutokea night mpaka majogooooo
new obama
yeaH
obama wa rap
wewe nyie
cheza namna hiii
eeh
tuna icheza hii ngoma namnahiiii
ki haslaaa
yani tunabugi bugi down namnahiiii
kihuslaaa
sijui nimwambieeee
ah ah
sijui nimwambieee 
ntamwambia badae
sijui nimwambieeee
atanipoiga kibuti nini au sijui nisimwambieeee
we semanae
wacha tucheze tu
tuicheze hii ngoma namna hiii
sijui nikimwambia atanikubalia au sijui nisi mwambieeee
ahahaaa


hey baibeeeee
ilove youuuu
ooh baibeeee
do you know that i lov you
nakuzimia beibeee
ooh beibeee
beibeee
 nakuzimia beibeee
oh beibe nakuzimiaga toka kitamboooo-
toka kipindi kile nikiwa mwana mgamboooo
sasaivi nimekua jemedari soja
nini cheki nnamavyeo vyeo nicheki mabegani nina manyotanyota na ngao V ni kitu gani wee
beibeee
heheheheeee yaaa
ni king bida in the house yaaa
feeel it
ni 2010

mileniam shit
musik inakwenya namna hii kwambaa
beibeeee
wewe
beibee
sijui nimwambie
hapamlipo mpompompompompompompompompooo
mpo na mchizi wa kitaaa
anaesababisha kuanzia night mpaka majogooooooooo
sina hapa gitaa
bye

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

KingBida son music of Ki-Tanzania asie allegiance to any label. As a veteran in this gem of yell yell, He continues to move forward to step down completely from vicious hits in the UK. KingBida solo artist who is inspired to marry a group of TheMandelazClic his residence in southern England, is also the owner of the KC-Production studio.

Bida King is writing the songs, vocalist and also produza.

As Ex - Xplastaz solder from the camps, group to which he has devoted to it grows to about ten mika. Right now he has split the space of African Hip-Hop solo. 

Welcome to the Official site KingBida Lyrics .. This is where they found all the verses written in which he is thrown into the air mental daile.

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>







outside Nyayo house
Nairobi City on KamiKazi PJ - CD Cover
few hours after  Recording 'Mna Nisikia!'
in Watengwa records Arusha

King Bida









Officia - Mna Nisikia! lyrics
Ndugu wana nchi
Siku nilipozaliwa tu
Mjumbe wa nyumba 10 10 
Alitoka spidi mpaka kwa mwenyekiti 
Akamwambia kuna mtoto kazaliwa huko
Ametoka namna hiii
Kihaslaaaa
Yani hata kutambaa anatambaa kwa kuflooo namna hiii
Kihuslaaaa
Nimesikia hata nenolake la kwanza kuongea amesema 
Ayama
Ayama
I am haslaaaaa
Ndugu wananchi
Tokea nikiwa mdogo
nilionyesha dalili za kuwa napenda sana maendeleo
Kwamaana nilianza kula ugali kwa umaaa, 
ugali nauma
Huku njaa inauma[ingawa roo inaumaa]
Na roo inauma
Nikamwambia bibi usikondeeeee
Kwenye hili gem la hip hop ntaimba mpaka kichina sio tuu kimakodeeee


Mpaka wanikubali kwakila aina
Sio tu-kiana
Nataka Wanikubali kwa umahiri wa tungo tata zenye
Na ubunifu wavina
Ndugu wana nchi
Ndugu wana nchiii
Na,
Nimebadilisha mfumo wangu ,
wa kuongea nanyi, 
Kwa mwezi mara moja
Sasa hivi ni kila siku, kila saa,
kila dakika kila sekunde na kila nuktaaaaaaaaaaaa
Nipo masikioni mwenu
kamon
Nipo machoni mwenu
Yani nipo mbeleeyenu,
teari kukabiliana nashida zenu 
Ndugu wana nchi
aa
Mnanini sikia
Aa
Mnani sikiaaaaaa ?
Ndugu wana nchi
Ndugu wana nchiii
Haha hahaa
Yaa

Nasintoliamishia bunge la tanzania darisalama 
Hata kinifike kiama
Ila viongozi ntawaamishia dodoma mpende msipende
Kwamaana chimwala ipo dodomaaa....au sio
Ngome kuu isanga ipo dodoma..
na hii ni kwa yeyote atakae toa ama kupokea rushwa
mbali ya kuujumu mali ya uma
Na milembe pia msisahau ipo dodoma
Kwamaana mwishoni mnajifanyaga mmerukwa na akili
Ndugu wana nchi
Wazanzibari ...............................niwatanzania....yea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Wamasai ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,niwatanzania....yea
Wamakonde

niwatanzania....yeza\

Waindi ..................................niwatanzania...........yea
Waarabu
......................................................niwatanzania
Wasomali...........................................................Ambao niwa tanzaniaaa yea
Wapo waabeshi.....................................................Ambao niwatanzania yea
Ndugu wana nchi
Kilimanjaro ipo tanzania
Ngorongoro ipo tanzania 
Na tanzanight ni ya watanzania

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>





Official - ATown Mafioso- Lyrics           soon
 in hash Environment SWEAT Shade of blood and Tears

Do not miss Full lyrics of this No. 1 East Africa Swahili ghetto life Beloved tune. 
I mean full song as it is on album ...
see you soon

<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
  

                                         Single - Mchizi Wa Kitaa                 the make of

Mchizi wa Kitaa ni Track ya kipekee ambayo inaonyesha dhahiri umahiri wa ki Music aliko nao KingBida.  Ukichukulia tokea aanze kulisotea hili gem la music hajawai kupewa tafu na mtu yeyote kuanzia DJs promotaz menejaz wala wanamziki aliowahi kushirikiana nao katika kuendeleza vipaji vyao.

Kwenye Mchizi wa Kitaa Bida ametoa ma-free stylez tu. Hadi inaruka hewani Hakuna lyrics zilizo kua zime andikwa popote.  Ila usiwe na wasi hapa ulipo ndipo Kwenye Kitaa cha Ngome ya Lyrics za Bingwa huyu wa kughani aka M-Real African Hip-Hop artist.

Sio tu umwagaji wa mistari inayo shtua moyo bali pia intrumental - beats uzisikiazo za kilo anazishusha mwenyewe akiwa ndani ya KC - Productionz [KwaChini hapoooo Studios]



Stay cloz na hili site kwamaana yanatupwa mawe hapa maka ushindi upatikane.
Kombe la Hip-Hop lirudishwe africa. kwa maana nia anayo na mitmbo ya kisasa anayo .. na kichwa ndio hiki sasa

Mpaka hapo sina mengi bali tumsikilizie tu..
Anatuletea nini safari ijayo
Adioss
<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>



No comments:

Post a Comment