Tuesday 17 December 2013

Urafiki wa Utata - Bida

Urafiki wa utata - Bida



 Yeah
This one dedicated to my all 800 friends we meet in the social net work...

Nilipo anza nilia nza na singo clik
lakini kwa sasa na klic mara kibwenaa
nili kuwa nikiona jina ama taswira naivutia kwenye urafik - nikadhani pinaaa
hivi sasa nina marafiki mpaka siwajui majinaa
wengi wao nime washtukia ni wa uongo
kama we rafi we rafiki
kama si mnafiki kwangu mi unataka nini
nimekutumia email yangu hujajibu sijui tokea lini.
we rafiki sijui unafikiria kwenye mtandao nimekuja kuangalia vimini..
ume omba photo zangu nkakupa
ukataka za nikiwa uchi nazo nikakupa
umetaka kujua naishi wapi, address ya home nika kupa
niambie ukweli unataka niniii!???

rafiki mnafiki , hupigi sim niki kupigia una nipiga mabusu ya kinafiki
inakuaje nimekupigia mimi unataka uongee wewee
ina kuaje nime piga mimi una wapa marafiki zako wote waongee... haaaa

koras

niurafiki gani huu wa utaaa
ni urafiki gani mi bida nna mashakaaa
huyu rafiki ,ni mnafikii
huyu rafiki, ana nletea tu ziki
we una marafiki, mi nna wanafiki
huyu rafiki ni mnafiki
ni urafiki gaaniiiiiii


urafiki gani huu - wa utataaa
nauliza ni rafiki gani we unaependa tu pesa
ni urafiki gani huu - wa uta-taa

chunga broo,
 nimeishi na marafiki wengi tu -kwa sanaa
kwenye urafiki kuna faida nyingi tu - kwa sanaa
ila shika moja,
rafiki ni rafiki anapokuwa rafiki yakoo
urafiki una pokwisha ana geuka kuwa adui yakooo
kenya na tanzania ni marafiki lakini mmmh
some ime kuna uadui hapooo
wasomali warundi na wakongo
mna pitia tanzania mkifika ma mtoni mna tutema,
ndio maana nasema kuna utata hapooo

koras


Rafiki gani niki kugongea una kataa - una kataa
rafiki gani niki kwita una kataaa- una nikataa
unajua nna shida nime kupigia sim uka kata - stoop
kama ni urafiki naomba uishie hapo hapoooo
nimechoshwa na vituko vyakooo
marafiki zangu wote ume wageuza wa kwako
ni wewe , wewe tu, wewe tu nawala usi wasingizie wenzakoooo
kila nikiwa nazo wa wa wa una nifata 
kila niki ishiwa fasta fasta kona una kata
utamu una pozidi kunoga, marafiki wa kweli wana zungusha mduara, alafu kiuno wanakata
ila mnafki akitokea utamuona,
ata ingia kati, ata zungusha, ata zunguka, ata izunguka round, ata zungusha ata zungushaa alafu ata tukataa,
huu urafiki mi nakwambia ndio maana niko siriaz ni wa utataaa.
leo nime kujia na shoo kabambe kuu kataa
ni urafiki gani mi nipo UK we ume china
ni urafiki gani mi nipo tz we upo japani ama kenya
ni rafiki gani we una marafiki 800 haaa
rafiki ama supa star
rafiki mnafiki una tabia za kiki
niurafiki gani huu wa utataa
niurafiki gani huu mi bida nna mashakaa
niurafiki gani huu wa kujificha
ni urafiki gani huu wa kwenye pichaa
ni urafiki gaaaaniiiii
rafiki mna fiki 
rafiki ana chuki
wewe rafiki
 ni mnafiki
mi nipo uk 
we upo tz
mi nipo tz we upo uk





......to be continue...

No comments:

Post a Comment