Monday, 17 July 2023

Uza muziki wako mwenyewe kwenye social media zako [shikilia mauzo yako asilimia 77%] - @Damaresi.com - By King Bidder

 


Hello. karibuni damaresi music. Leo Tarehe 17/18th July Natangaza kuwa soko la muziki Swahili Land lime rudi str8 to Artist ThemSelves.

Kwa kilio cha muda mrefu wa miaka 33 ya John aka Bidder aka Jogoo kwenye Music industry bila kuuza hata kopi moja, na kwa uchungu wa kuona Brothers and sisters waki struggle day and night bila kuona faida ya art zao, wengi kukata tamaa kwa ajili ya tycoons wachache wanao liburuza soko kuelekea kwenye midomo yao.

From now, waeleze tu fun yes followers wako wa kwenye sosho midia zote duniani, kutoka pande zote za dunia. kuwa sasa uta kuwa una wapa kila singo utoayo studio direct kwao kwa gharama ndogo saaaaana kiasi kwamba hawata feel any pain, na wao dio watakao sema kama wimbo una faa, na kuweka nyanja zingine ziwezekane , kama kupata tuzo au kuingia katika Charts za Damaresi za Green love WeekEnds za kila mwezi zinazo tarajiwa kutangazwa kila wikiendi ya kwanza ya mwezi. Na chati hizi zita ashiria kuwa mziki gani uende duniani, kuwa video na mengineyo mfanyayo wasanii.

Damaresi tuna tegemea kusaidia wasanii kwanza kabisa wa swahili music, kuweza kuuza kazi za sanaa zao kwa waswahili and swahiuli lovers worldwide. Naongelea diaspora ambao sio lazma wawe tu nje ya Swahili land namaanisha hata waliopo tu ndani ya swahili land ila nchi ya jirani, ambapo loko redio na loko tv au loko online media hazi wafikishii wAtu wa zone hiyo au flani, aina flani ya muziki uupendao ulio umisi kutoka nyumbani.

Diaspora wakenya ana weza kuwa tanzania, au wa uganda kuwa kongo drc au wa zambia kuwa comoros au wa madagaska kuwa south sudani sio lazma wawe south afrika au naijeria ndio waitwe diaspora, wana weza kuwa ghana au uk amerika au EU china au india japani au mexico cuba au Iran qatar au afghan stan, poleni Urusi na Ukreni, diaspora ana weza kuwa popote tu hata boda za nchi zao.

Come down, Najua mlitaka kujua mta uza vipi single bila meneja wa lebo na mtu wa kusimamia mauzo. OK. Ni hivi -  Una pakia wimbo wako mmoja tu katika Damaresi Music - una weza fika kupitia Damaresi.com au DamaresiMusic.com au Music.Damaresi.com bila shida. Application Ya Damaresi Music is on testing stage right now. Tuta wajuza ikiwa teari muimiliki kwa urahisi wa kufatilia maendeleo ya mauzo ya kazi zenu.

Ukisha pakia muziki wako damaresi, Uongozi wa damaresi music wata kupa , link special ya access ya profile yakop kwenye exactly where your music is. Hapa uta shere ile link kwa sosho midia zao, META na zinginezo zinazo pokea link. 

Hii link ni kwaajili ya malipo tu. na pindi shabiki wakjo kutoka ulipo shea link yako atakapo amua kufuata link ita mpeleka moja kwa moja Damaresi Payment Secure Page atakapo fanya malipo ambayo kwa sasa ni Tsh 333.33 [Bei kamili au rafiki ita tangazwa na wana mahesabu wetu professional] Tuna tegemea bei kuwa low as posible ili soko likuwe kubwa as big as possible. Hivyo uki lipishwa au ukiona kampuyni yeyote nje ya damaresi ina kwambia lipia kupata huduma kama yetu kimbi uje sehemu safe. Ukiona una lazimishwa kuweka bei juu kimbia pia.  au njoo u linganishe na bei zetu kwa udogo sio ukubwa. na ukiona bei kubwa kwetu, tujuze, labda wana mahesabu wali sinzia kidogo.

Mteja aka fun wako, kutoka kwenye fun base yako ndio muamuzi mzuri wa manuinuzi. nashauri tuache kushinikiza ndugu jamaa na marafiki kununua kazi zetu kwani, wapo nasi kila hatua kabla hata hatuja waambia tuna taka kuwa wana muziki, wali kuwa wakwanza kutu sifia kuwa tuna kipaji, labda wali tuchangia kunza huu mradi au mtaji wa muziki. Baada ya sucks yani kuburuzwa tume sahau ukarimu wao, na mchango wao kwenye tasnia na talent zetu . Leo tuna wageuza wateja badala ya kuwaambia wasikilize free na kutujuza kama ina faa kwenda sokoni.

Fun base ni fun wako tu, bei ipande wata kuwa nawe ishuke bado wata kuwa nawe, kuna kitu wana kipendsa kwako tofauti na ndugu na jamaa. Hivyo heshimu mashabiki watunze ndugu na marafiki. Bei ya wimbo ikiwa ndogo, funs wata shukuru hata kununulia na ndugu na marafiki zao usio wajua kuwa wana kupenda. Always funs wana ona mbali ya kiji chako iwe jua iwe mvua wata kushabikia hata kama beto sio lako.

Wateja aka funs wata nunu na kupata single yako.
Hapo wata pelekwa kwenye page ya kudownload au ku streams, msiniulize mimi sio fundi www.damaresi.com am just a founder labda ni mmiliki kiduuchu, hivyo wana team damaresi the damaresians wata wajuza jinsi system inafanya kazi.

Kama una maswali please  wasiliana na Music@damaresi.com yes it is email only contact. Siunajua we are Greener Company on the planet earth, Tuna jaribu kuokoa miti isikatwe kwa ajili ya makaratasi. Yes mteja ana weza stream au download ku umiliki wimbo.

Msi ninukuu vibaya kwenye kauli pendwa ifatayo. Kama fun wako hawezi changia chochote, una weza muuliza kuwa ana hisi kuna umuhimu wa yeye kuwa kwenye sosho yako?!! au ana weza kukupunguzia wingi wa maroboti. Yani kuwepo tu na kuto fanya mchango wowote zaidi ya kulike na kukomentika na mtiririko usio na maana wa emoji zaidi ya tatu kisa ni free akasoime eBooKs za King of EmojiZ au World of eMOJIz writen by Mr John A. M yes The writer of Hip-Hop is Dead eBooK.

Sidhani kama natakiwa kuandika eBooK about how to sell your music on Damaresi.com but kwa mtiririko huu. I feel like that is my next step/job.  Any way. Kwa wano ona hakuna maelezo ya kutosha hapa kwenye waraka huu wa Jogoo basi wajiunge Damaresi Music and see by themselves on First sales 5th August 2023 and then the rest will fall in place.

There are CODE369 ambazzo sija ziachia, kwa kuprotect my beloved artist. Walio niamini on this journey, nilipo waambia tuna kwenda heshimisha Swahili Art to the world , Hawakuuliza swali kivipi. Bali wali weka Albums and albums singles and jingles ep kwa mix tapes at damaresi music na kusema lets do it kwa ajili ya wajukuu wa Obama na Rishi Sunak, nami siku wadondosha . Some from Amerika kama ChindoMan, others from German Kama JCB the rest ni too many. 

Just join us and get our blessings, kama una chochote unacho ona kime pitiliza au kime miss, dont be shy. Join the streets movements. Tume itoa Rap from The ghetos str8 to the streets. Tusi sababishe watu kujificha tena kuwa wana feel shame. Lets clean it up. Lets take them Gangs out of the way. Let our Kids sing our nice matusi free tunes, violence free songs, drug and abusive free hip-hop.

Tuzunguke kwenye meza tuongee jinsi ya kusaidia label na managers to cope with the reality coz it is gonna hit them haaaaarder. 

You want to sell to your sosho media fun base. I got solution for you. 

Karibu

John
Bidder
Jogoo
Damaresi.com
17/18 July 2023
No.0180720230


No comments:

Post a Comment