Saturday 6 May 2023

The World eMojis - Mama Samia eDition by John A. M

The World eMojis - Mama Samia edition

The World eMojis Dedicated to Tanzania President kwa kuwa ni raisi alie ingia madarakani na kusindi kiza swahili land kwenye ulimwengu wa sayansi na technolojia.


The writer wa Emojis Book ambaye pia ni the owner of the Damaresi.com the swahili online ecommerce business ambaye ame dhamiria kuiingiza swahili land kwenye world online trade, ame sema kuwa malengo na madhumuni ya kumpa heshima hii ya kipekee, Raisi wa Tanzania kwenye miendeleza ya vitabu ambavyo ana seme amenuwia kuwa ata kuwa akivi release as many as he can, ame sema ni kwasababu Mama Samia S. Hassan ni mwana uchumi. Kitu ambacho Mr John ame ongelea kwa msisitizo na kusema kwenye Bara la Afrika na nchi nyingi za zinazo endelea zina kutana  na hii changamoto ya kuwa na viongozi wanao chukuwa madaraka kwa kuwa wanatokea kwenye chain ya uongozi au wana hela zaidi ya wengine

Aliongeza Bwana John kwa kusema ni tofauti sana na Mama Samia, ambae ni Raisi mwenye Elimu ya juu ya Uchumi na Maendeleo ya jamii na na pia ana merit certificates za vyuo vikubwa Nchini Tanzania na pia Uingereza Manchester Uni. Bila kusahau kuweka bayana kwamba ame pitia nguzo zote za uongozi, ngazi kwa ngazi miaka kwa miaka , kama King Charlie. Muheshiwa Samia hakutumia short cuts ili kufika  alipo, ingawa alikua na nafasi adventeges zote, bado haku acha kujiendeleza kwa masomo na kuijua nchi bara na visiwani. 

John A. M aliongeza kuwa kusoma Open Uni sio kazi rahisi, kwa mtu mzima mwenye familia, na pia kiongozi. John akiwa kama drop out wa OU ame sema , sawa kila mtu huacha chuo kwa sababu zake binafsi, lakini pia wanao enda mpaka mwisho wana enda kwa sababu nyingi tofauti tofauti haswa kwenye ulimwengu huu wa mitandao, just to create profile , na ku show off zaidi, kuliko elimu na kuchanganua junsi gani wata isaidia jamii yenye changamoto mbali mbali , haswa kwa nchi changa zenazo zongwa na  changamoto za uchumi, na maradhi, chakula , upungufu wa ajira na majanga shitukizi ya mara kwa mara yasio pingika.

Karibu mama samia kwenye ufunguzi wa Arusha eTailer Academy and the Damaresi Publishers, kwamaana tuna jisikia raha na furaha ya hali ya juu kuwa na kiongozi anae thamini elimu nan kujua maana yake , na haswa technilojia. - Alimaliza Mr Johnra.

Eariler kwenye hotuba ya Damaresians accross the golobal, John ali sema kwa msisitizo kuwa kuna safari nzito in wakabili timu nzima ya damaresi.com na Damaresi Tanzania ltd. Aliwashukuru wahitimu wa mafuzo ya kawali ya kujiunga damaresi, yanayo julika na kama Welcome To Damaresi. Masomo haya ya biashara ya mtandaoni yanayo waanda wana damaresi. Yana chukua wiki tisa za theory na practical, masomo haya yanayo ambatana na video, voice cakk, text email and links za online, yamekua ni nguzo kuu ya damaresi tokea 2016. John ana sema baada ya kukosa kozi ya online retailing at Open Uni, ilikua ni moja ya sababu ilio mfanya kuacha chuo 2014 na kuingia online straigh ,a kuizindua damaresi.com 2016 january. Since then it have been a roller coster, watu wasio elewa maana ya mtandao wame pita kwenye open classes na open offices za John and Damaresi.com mpaka ina katisha tamaa.

Ila experience hiyo ilio anzia kwenye darasa la watoto , na kufata kwa watu wazima kuona sasa watu wana weza kufata lectures a to z na kufanikisha shughuli za damareshi kusimama. Ndio kitu kilicho mpa moyo John na kuanza kuandika guid books mbali mbli za biashara na biashar za mtandaoni, na juzi mbali mbli, Alisisitiza kuwa swahili internet is empty, and META IS NOT INTERNET kama waswahili wengi wanavyo zania, na kusema darasa lime anza kwanza on eMojis, Lugha nyepesi, tukisha weza kuelewana kwa lugha wanayo itumia kwenye udaku na mambo yasio yakujenga sehemu za kujenga, then tutaweza kuanza kuelewana. 

Kwamaana nikero kabisa kwenye eMojiz zinavyo tumika duniani, John alisisitua kuwa mnamo 2022 alipo alipo anza kuandika eBook ya emojis , hakuwa na elimu yo yote ya uandishi, ila kwa jisi alivyo zitumia kwa over 7 years , mafanikio alio yaona na urahisishaji wa kazi . na kutest with Damnaresians. Aligundua kiuan potential, on this fastest growing language on online lifestyle.

By the time King Charlie ana launch his King Emo, ndipo john alipo hitimisha kuwa yess. this is a right thing am doing alisema.

Kama higher person, rich and well respected in the whole whorld ame ona nacho kiona na kuacha badala ya kuwekeza kwenye space ship, au war jets and marine war ships or lauching a software on an inddustry of any technology and or device, lakini King Of Unitetd KingDom ame choose to invest less than a  1 dollar, lest than a £1 less than Tsh 3,333 kwenye eMoji na kusema kwamba ana iinginza British Roya Family kwenye ulimwengu wa internet kwa style hii- Kwa EMOJ MOJA TU. now waswahili kaeni mkao wa kunena kiemoji, maana i got milions and milions of eMojis,Tags and words plus numbers which am about to reavies to you. while you am trying to share with you little by littlte what i know about online business - products and services, ili zirahisishe maisha nyenu yakila siku, kuwapa bururani, kuwapunguzia stress, kuokoa vifo  vinavyo kingika na kuweka chakula mezani just kwa kuanzika KWA KISWAHI. we dont need engilish, french , germany or portugiese to teach one another and to serve the world this our beautiful products and services

Karibu King Charlie and Queen Camilla
Karibu Mama Samia S. Hassan

Its Me 
King of Emojis
King Bidder

John A. M
Founder & Owner
Damaresi.com CEO

33:33 A. M  -  07.05.2023 
Seen & Approved By Team Damaresi 

No comments:

Post a Comment