Friday 17 June 2016

The Best of KingBida - 2016 MixTape

King Bida has welcome all his fun on his upcoming album. He has release a 33 songs, all as raw material for his KamaKazi album. Mbali yakuwa kingBida ame amua kuachia the Make of KamiKaze  album hewani, pia ame tumia deep thoughts to involve his friends and his fun katika zoezi lizima la kuwakilisha tungo- Hizi Tata, za mwana muziki machachari, anae heshimika kwa mchango wake mkubwa katika ku promoti lugha ya kiswahili duniani, kwa kutumia misemo mikali mikali na audio na pia maandishi katika shughuli zake za kila siku, iwe online ama off line.

The Best of KingBioda is not just a musical album, it is also ERA which King|Bida is going thrue, hivyo usitegemee muziki peke yake, bali kuangalia The Real Hip-Hop life style ya John Mrecha aka Bidder. Album 5 zinategemewa kuwa hewani ndani ya miaka kumi- ali ongea kwa ukali KB. Akisema kwa jazba kuwa'' nimesha poteza miaka 38 ya maisha yamgu katika kuijenga Empire, hivyo kuipa miaka kumi ya ziada sio kitu cha ajabu'' alimaliza na kusema , kama mungu atapoenda - kb yupo tayari kujinyofoa kutoka kwenye real Hip-Hop na kuzama ndani zaidi, kunako Deaap Hip-Hop. alisema Kamakazi, Bad,view and Power of writing with New Empire are just Tha Biggining of MandelaZ Move ment. The exactly era 2025 to 2035 will be the fun, enjoyable and the bringer of Real African Hip-hop .. as he call this era to be Kings and Queens ara.

Kaeni mkao wakula waswahili wote , marafiki zenu na hata maadui zenu . natumai they will love www.damaresi.com efforts za kumuweka kingbida kwenye frontpage za waswahili popote pale ulimwenguni. Bila kusahau shughuli za kuumeni zilizo fanywa na crew zima la The MandelaZ Pro 2016.

A lot to com, hamjaona bado music inayo tibu, onya, na kuponza. KB ataweka haya yote ndani ka decade hii ngumu ya uchuuzi katika safari na muziki.

For more info about any thing above or out of any John Mrecha social and official net work dont hesitate to contact Him direct or just leave a comment .

KingBida
King Of Swa-Land
AS0170620160
OU only
https://www.facebook.com/KingBidder.MusicIf you like Kiswahili and English Real African Hip-Hop press here http://www.damaresi.com/Damaresi-Music.php 33 songs all free stream only..no download link..which means no virus..simple.

No comments:

Post a Comment